Breaking News:Waziri wa Nishati na Madini ajiuzulu.
Taarifa kutoka hapa kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za Wizara ya Nishati na Madini ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kujiuzuru.
Profesa Muhongo amechukua hatua hiyo ambayo inasemekana alionekana Ikulu saa moja iliyopita na aliporudi ametangaza maamuzi hayo,endelea kufatilia millardayo.com kwa taarifa zaidi.
Kwenye sakata la Escrow,Profesa Muhongo atakua ni Waziri wa pili kupoteza nafasi zao kwenye Wizara zao baada ya mama Anna Tibaijuka.
Breaking News: Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi yake kufuatia sakata la Tegeta Escrow.
Breaking News: Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi yake kufuatia sakata la Tegeta Escrow.
- Asisitiza yeye ni msafi, mwenye ushahidi wa uchafu wake awasilishe kwenye vyombo vya dola
Mwanafunzi wa kidato cha pili ajifungua kwene daladala.. cheki hapa..
Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho secalijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo....yaani alivyovaa shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike ili utapaji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe....elimu ya mapenzi salama ifundishwe shule au wazazi wawe wawazi kwa watoto zao kuwaeleza njia salama za kufanya mapenzi maana KUMKATAZA haiwezekani
Mauaji Ya Kutisha Ya mwenyekiti wa kijiji cha songa mbele wilayan mlele mkoani katavi.. tizama picha hapa
Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayan MLELE mkoan KATAVI watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwny moto n kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayan MLELE wanaendelelea n uchunguz kubaini wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea leo majira ya saa saba ucku hayo ndo yaliyojir wilayan MLELE
Samahani kwa picha hizi
Hili ndilo Jumba, Daimond Plutnumz alilomjengea mama yake..Cheki Hapa
Leo kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ametupia picha ya ile nyumba aliyosema anamjengea mama yake. Katika picha hiyo aliambatanisha na maelezo haya "Had to visit mama Chibu's Village today.." Nyumba hiyo inaonekana ya kifahari hasa ukiangalia muundo na mabati yaliyotumika kujenga nyumba huyo.
Fahamu ukweli kuhusu shanga wanazovaa kina dada na kina mama kiunoni.. Cheki hapa.
Shanga Ni Ishara Hasa Kwa Wanawake Wa Pwani Ya Tanzania,wanawake Wengi Hupenda Kuvaa Shanga Kuashiria Kitu. Mfano Akivaa Nyekundu Anaashiria Kuwa Yupo Siku Zake Hawezi Kufanya Mapenzi, akivaa Nyeupe Yupo Free Anaweza Kufanya Mapenzi Na Akivaa Nyeusi Huashiria Yupo Free Lakini Hawezi Kufanya Mapenzi.
Katika Uvaaji Wa Shanga Kuna Makundi Mawili Kundi La Kwanza Huvaa Shanga Kwa Ajili Ya Kumvutia Mwanaume Pindi Anapomvulia Nguo Mwanaume, kundi La Pili Huvaa Shanga Kwasababu Ngozi Zao Zimepoteza Hisia Kwa Ajili Ya Kushikwa Mara Kwa Mara Na Mikono Ya Kiume. Hivyo Anapovaa Shanga Zinamsaidia Kuamsha Hisia Pindi Mwanaume Anapozichezea Vilevile Shanga Huleta Msisimuko Kwa Mwanamke Ambao Humfanya Ajisikie Raha Isiyo Kifani Ndio Maana Wadada Wengi Hupenda Kuzivaa.
Pia uvaaji wa shanga unaendana na utandikaji wa mashuka,mpenzi wako akitandika shuka jeupe/jeusi/jekundu huwa ana maana yake hivyo yakupasa kumuelewa
NB:MADADA WENGI HAWAJUI NAMNA YA KUZIVAA UTAKUTA KAVAA ZOTE TATU HALAFU SIYO WASTAARABU ZINAONEKANA HADHARANI