Mwanafunzi wa kidato cha pili ajifungua kwene daladala.. cheki hapa..

SOCIALIZE IT ⇨


Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho secalijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo....yaani alivyovaa shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike ili utapaji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe....elimu ya mapenzi salama ifundishwe shule au wazazi wawe wawazi kwa watoto zao kuwaeleza njia salama za kufanya mapenzi maana KUMKATAZA haiwezekani

0 comments:

Post a Comment