PICHA ZA MATAYARISHO YA SHOW YA ZARI, DAIMOND PLUTNUMZ NA ROMY ZIKO HAPA....


Picha za matayarisho ya show ya Zari the boss lady, #ZariAllWhiteCirocParty ambayo Diamond na timu yako watakuwepo na kufanya show fupi.
zari show 27 zari show 28
zarishow 1 zarishow 2 zarishow 3 zarishow 4 zarishow 5 zarishow 6 zarishow 7 zarishow 8 zarishow 9 zarishow 10 zarishow 11 zarishow 14 zarishow 15 zarishow 16

DOWNLOAD VIDEO MPYA YA ALIKIBA- MWANA


NJE YA CHUMBA CHA ZARI NA DAIMOND PLUTNUMZ ULINZI ULIKUWA HIVI.. CHEKI HAPA

askari
Hawa askari tuliwaona wakati Diamond Platnumz amewasili Uganda na kupokelewa Airport kwa mbwembwe sana.
askari 2 askari 5
Kumbe ulinzi wao uliendelea mpaka siku ya sho ambapo mmoja wao aliwekwa Nje ya chumba cha Diamond na Zari. Ni Mlinzi kutoka jeshi la Uganda akilinda usalama Wa@diamondplatnumz na @zarithebosslady  Hii picha akiwa nje ya chumba akiwasubiri wakati wakijiandaa.

TIZAMA PICHA ZA ZARI NA DAIMOND PLUTNUMZ TOKEA CHUMBANI HADI UKUMBINI.. NI SHIDAAAH


Pati ya Zari ‘AllWhite CirocParty’ iliyofanyika usiku wa kuamkia Decemba 19 mjini Kampala imeisha saa 11 alfajiri, Kwa mjibu Wa wahusika wa club @guvnoruganda wanasema ukumbi wao haujawahi kujaza watu kama ilivyokuwa kwenye party hii, licha ya watu kujaa ndani bado palikuwa na watu walioshindwa kuingia na kubaki nje .
zari party 8
zari party 1 zari party 2 zari party 3 zari party 4 zari party 5 zari party 6 zari party 7 zari party
 zari party 9
zari party 10
zari party 11

Download Lawize ft Neiba – Hawana Wema

                                                                                              DOWNLOAD HAPA

kama magazeti ya leo yamekupita tizama hapa..

Ulikuwa mbali na Redio yako na hukusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani kupitia Power Breakfast ya Clouds FM? yako hapa nimekurekodia unaweza kusikiliza.
Habari inayohusu uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, kumteuwa Dr James Mataragio,  kuwa Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika la Maendeleo ya  Petroli  Tanzania (TPDC)  ni moja kati ya habari zilizoandikwa kwenye Magazeti ya leo.
Bonyeza play kusikiliza Uchambuzi wa Magazeti ya Leorecording_studio                                                                                kusikiliza click hapa

SALIM KIKEKE ASIMAMISHA MDUDU BAADA YA KUM HUG MISS WORLD 2014.. CHEKI HAPA

MTANGAZAJI MAARUFU WA IDHAA YA KISWAHILI KATIKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA UINGEREZA BBC ASHINDWA KUJIZUIA KUONYESHA HISIA ZAKE PALE AMBAPO ALIYESHINDA MISS WORLD  2014 ALIPOTEMBELEA SHIRIKA HILO! Hhaahahahaaaha chezea mtoto wa kikaburu wewee........!Miss World 2014 wa Afrika Kusini, Zawadi Machibya Zuhura YunusPhoto: Miss World 2014, Rolene Strauss of South Africa with me and Charles Hilary at our BBC offices in London.

MAKAHABA NCHINI KENYA WAHITAJI KUTAMBULIKA NA SERIKALI CHEKI WALICHOKISEMA HAPA..

DSC07254Kundi la wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza nchini Kenya limefanya maandamano kuadhimisha siku ya makahaba duniani jana December 17, lengo lake ni kukomesha dhuluma dhidi yao.
Wanawake hao waliandamana ofisi ya Jaji Mkuu Willy Mutunga wakitaka Serikali kuwapa nafasi ya kuwatambua rasmi na wawe walipa kodi halali kama ilivyo kwa wafanyabishara wengine.DSC07242Waandamanaji hao wameishutumu Serikali kwa kuruhusu ukiukwaji wa haki zao za kibinadamu kwa kutokana na kesi ambazo huwa zinawahusu kutochukuliwa hatua za kisheria.
Nilikurekodia sauti na video wakati habari hiyo ikiripotiwa na kituo cha K24, unaweza kubonyeza play kuisikiliza.

DAIMOND PLATNUMZ, ROMY JONS, BAB TALE NA ZARI THE BOSS LADY WAKIPATA CHAKULA CHA USIKU HUKO UGANDA.. CHEKI HAPA NI SHIDAAAH

romy 3Diamond amefika Uganda na kupokelewa na timu ya Zari kwaajili ya party yake ya #ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika @guvnoruganda tarehe 18 December 2014. Hizi picha za chakula cha usiku wakiwa na mwenyeji wao Zari.romy 1romy 2

WAZIRI MWANAMKE AZUA MTAFARUKU MTANDAONI BAADA YA KUPOST PICHA ZA UCHI HUKO JAMAICA.. CHEKI HAPA

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley.

Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye ni mbunge na waziri kufanya hivyo, huku wengine wakisema ni sawa.
Lisa Hannah 
Baadhi ya maoni:
Andrea Barrett 
Whats wrong with it..is she wearing swim suit to parliament???? Isn’t the attire appropriate for the place she is at????? oh please!!!!!!!! 
Edwin Walton

KIJANA WA KIZUNGU ABADILI NA KUWA M'MASAI.. CHEKI HAPA

KIjana mmoja raia wa Sweden amegeuka na kuwa kijana wa kimasai
a kimasai nchini kenya.Aliposafiri nchini Kenya mwaka 2011 kama mtu aliyejitolea katika shirika moja lisilo la kiserikali ,uamuzi wa kuwa kijana wa kimasai wa Ilchamus lilikuwa wazo la mwisho katika akili ya Max Roing,ambaye ni raia wa Sweden.
Lakini miaka mitatu baadaye ,Max mwenye umri wa miaka 25 amependa sana utamaduni wa watu hao walio wachache katika fukwe za ziwa Baringo.
Max pia alikuwa miongoni mwa vijana 5,000 wa Ilchamus katika kaunti ya Baringo waliotawazwa kuwa wanaume kamili baada ya kupashwa tohara.





'Nilikuja nchini Kenya kama mtalii na pia kusaidia kuhifadhi mazingira kupitia upandaji wa miti katika kaunti ya kajiado''bwana Roing aliliambia gazeti la Nation nchini Kenya baada ya kuhitimu.
Kwa sasa anafuata mila yake mpya inayoshirikisha mavazi yanayovaliwa pamoja na shuka nyeusi,simi iliofungwa katika ukanda wake wa rangi ya hudhurungi,viatu vyeusi na nguo iliorembeshwa kwa shanga.
Hafla hiyo ya kuhitimu imemfanya kuingia katika umri wa Ilmeng'ati.
''Mimi ni Max Lemeyan Le Kachuma kutoka kabila la Ilchamus na ukoo unaojiita Iltoimai''alisema jina lake huku akinywa maziwa yalio chungu katika kikombe.

DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA IZO BIZNESS "MR XMASS" HAPA..


https://mkito.com/song/mrxmas/8421/bwi-4-14872
                                                 DOWNLOAD HAPA

Download Shilole – Malele


https://mkito.com/song/malele/8902/bwi-4-16822     download hapa

MWISHO WA DUNIA UMEKARIBIA... MALAIKA WAONEKANA WAKIPAA ANGANI HUKO BRAZIL CHEKI VIDEO HPAAA...


ULIKE PAGE YETU!..  kwenye facebook bongovibe

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh96j8kexOkHqQl8_4anog6rMr15v77QcIz9cispfzPvE6Nzk2L9qXX2ATYGBq_pPTjbaOBxSkZKp0M0fqzi4M4khFZevh8_SBiOnW7ZlQgCvb5PYEUeZsp-0T8FfnjlrHrM0_7h6Qx-Jyu/s1600/anjos.jpg 
A camera man in Brazil recently captured two Angels flying in the clouds; an incident that has caused an online storm. He initially thought that they were just birds but when he zoomed in, he realized that they were two winged creatures that resembled angels.

AGNESS MASOGANGE ASEMA HII NDO FUNGA MWAKA.. CHEKI HPA NI SHDAAAH

TAZAMA STORY ZILIZOTEKA VICHWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO.. CHEK HAPAA


nuz
MWANANCHI
Mgombea Uenyekiti kupitia Chama cha CCM Mtaa wa Swea kata ya Mkolani Mwanza Pius Mihayo amefariki dunia gafla akiwa mtaani kwake muda mfupi baada ya kupiga kura.
Msimamizi wa uchagyzihuo Halifa Hida alisema mgombea huyo alifariki dunia gafla akiwa kwenye mtaa wake wa Swea na chanzo cha kifo chake hakijajulikana.
“Sasa kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi,tutatangaza matokeo ya wajumbe na nafasi za wagombea wa vitimaalum,nafasi ya uenyekiti haitatangazwa hadi taratibu nyingine za uchaguzi zitakapoandaliwa”alisema Hida.
Mkoani Arushamsongamano wa wapigakura katika kituo chaMbauda kata ya Sombetini unadaiwa kusababisha kifo cha mtu aliyetambulika kwa jina la Suleiman Bakari.
Tukio hilo lilitokea saa 3 asubuhi katika kituo hicho ambacho kilikua kimefurika watu ambapomtu huyo alianguka gafla baadaya kukosa hewa akiwa kwenye mstari wa kupigakura.
NIPASHE
Uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji na vitongoji ulifanyika nchini kote jana huku ukitawaliwa na kasoro na vurugu kubwya  zilizosababishapolisi kutumia risasi za moto na baadhi ya wapigakura kuchapana makonde jijini Dar es salaam.
Vurugu hizo zilitokana na uchaguzi huo kugubikwa na kasoro nyingi na hivyo kusababisha baadhi ya vituo kulazimika kuahirisha uchaguzi huo hadi wiki ijayo.
Baadhiya kasoro zilizoibuka zilitokana na baadhi yavituo kuchanganya majina ya wagombea,kuchelewa kuanza kwa uchaguzi,kukosekana kwa vifaa vya kupigia kura pamoja na baadhi ya wagombea kuwahujumu wengine.
Uchaguzi huo ulipangwa kuanza saa2 asubuhi lakini maeneo mengi ulichelewa kuanza kutokana na vifaa kuchelewa kufika vituoni.
Katika kituo cha Kimara bucha kulitokea vurugu kubwa baada ya mawakala kugombea kuwasaidia wapigakura kuweka alama ya vyema kwa wagombea na baadhi ya watu kutakakurudia kup[iga kura hali iliyosababisha msimamizi wa kituo hicho kupigwa na wapigakura kutokanana na kukerwa na kitendo cha baadhi yawatu kurudia kupiga kura.
NIPASHE
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Stephen Masele ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga mjini amevamiwa na kundi la vibaka wakati akienda Zahanati kupatiwa matibabu na kisha kuporwa vitu mbalimbali mjini Shinyanga.
Masele alisema tukio hilo lilitokea juzi saa4 usiku wakati akienda kupatiwa matibabu ya matatizo ya koo katika Zahanati ya Bakwata  na gafla alivamiwa na kundi la watu wapatao 30 na kumpora mali zake.
Alisema akiwa na Naibu Katibu mkuu CCM Zanzibar,Vuai Aly wakipata chakula cha usiku hotelini gafla alijisikia vibaya na kuamua kwenda kwenye Zahanati hiyo kupatiwa matibabu na ndipo alipata mkasa huo wakati akiwa njiani.
Masele alikanusha tuhuma alizozushiwa na wananchi kuwa kuporwa huko kunatokana na yeye kugawa rushwa kwa wananchi wakati wa kampeni Serikali za mitaa ili wananchi wawachague wagombea wa CCM.
MTANZANIA
Katibu wa CCM kata ya Narungombe Lindi Mohamed Pilipili amevamiwa na kupigwa hadi kuzimia na mabaunsa kwa madai ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba usiku.
Tukio hilo lilitokea juzi usiku katika kitongoji cha Chikwale baada ya kundi la mabaunsa kumvamia na kumpiga Katibu huyo pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo Seleman Lukuche.
Akizungumzia tukio hilo Lukeche alisema ilikua saa 3 usiku wakitoka Ruangwa kupeleka taarifa za mwenendo wa uchaguzi pamoja na majina ya mawakala wa CCM ndipo walipovamiwa na kundi hilo la mabaunsa10waliodai wao wanadhibiti .vitendo vya ryushwa ambao walianza kuwapiga bila kutaka maelezo.
Katika tukio jingine mgombea wa nafasi ya uenyekiti kata ya Mkwajuni amepigwa na watu wanaodaiwa wafuasi wa CUF kwa madai kuwa alikwenda kwenye eneo la Mjimwema kupanga mikakati ya kuiba kura.
UHURU
Muda wowote kuanzia sasa Rais Jakaya Kikwete atatoa na kutangaza uamuzi wake kuhusiana na baadhi ya watendaji wakiwemo Mawaziri kuhusishwa katika kashfa ya wizi wa fedha za Tegeta Escrow.
Wiki iliyopita Rais alipokea na kupiia ripoti iliyowasilishwa kwake,nyaraka na ushauri uliotolewa katika maazimio ya Bunge kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow.
Kikwete ambaye alianza kazi Desemba 8 mwaka huu baada ya mapumziko kutokana na kufanyiwa upasuaji alisema atatoa uamuzi wake ndani ya wiki hii.
Alisema atatolea maamuzi mambo ambayo yanamuhusu yeye moja kwa moja na yale yanayohusu Serikali atatolea uamuzi na maelekezo ya namna ya kuyashughulikia.
Bunge lilitoa maazimio mbalimbali kwa Serikali ikiwemo kuitaka mamlaka ya uteuzi  kuwawajibisha ikiwani pamoja na kuwavua nyadhifa zao Waziri wa Nishatina Madini,Mwanasheria mkuu,Waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi,Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na madini na wengineo.
HABARILEO
Kundi la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia na kupora fedha na vitu mbalimbali ndani ya kanisa Katoliki la Kilema jimbo la Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuakia jana ambapo watu hao wakiwa na vifaa maalum  vya kuvunja milango,walivunja langokuu la kanisa hilo na kuvunja sanduku la sadaka na kupora vifaa vya kufanyia ibada.
Padri wa Parokia ya Kilema DamianTemere alisema vitu vilivyoibwa ni pamoja na vifaa vitakatifu vinavyotumika katika sikukuu ya Ekaristi na majambazi hayo yalivunja kasha la kuhifadhia sadaka na kupora fedha zilizokuwemo ambazo hazikujulikana thamani yake.
Alisema pia waliiba vifaa vya kunywea divai na kumunio ambavyo nivya dhahabu vyenye thamani ya mamilioni ya fedha huku wakiacha vile vya shaba.
Alisema baadhi ya vifaa hivyo vilinunuliwa na wamisionari wa kwanza na vilikua na thamani kubwa kwa kanisa hilo kwa kuwa niliwakilisha imani katika parokia hiyo na kanda nzima ya Kaskazini.
MWANANCHI
Shirika la usafiri wa anga la China Avic International liko kwenye mazungumzo na Shirika la ndege la hapa nchini ATCL ili kuliwezesha Shirika hilo la Tanzania kufanya kazi kwa ufanisi.
Avic inayomilikiwa na Serikali ya China imesema mkakati wake wa kwanza ni kutoa ndege kwa ATCL ili kuboresha huduma zake,kufanya kazi na kujiendesha kama ilivyo kwa mashirikayandege ulimwenguni.
Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya UchukuziMonica Mwamunyange alisema kituo hicho kimeanzishwa baada ya makubaliano ya nchi mbili yaliyofanyika China mwezi Oktoba mwaka huu wakati Kikwete alipotembelea nchi hiyo.
“Tuliangalia suala la kuunganisha nguvu kati ya ATCL na Avic International na tayari wenzetu wa China wameamua kuanzisha kituo hiki”alisema Mwamunyange.

TAZAMA PICHA ZA HUDDAH MONRE HUKO INSTAGRAM... NI SHDAAAH

Govt won’t approve transfer requests by teachers from Mandera, says PS Belio Kipsang

                           
The government will not approve transfer requests by 150 teachers from Mandera County who want to relocate following security threats.
Education Principal Secretary Belio Kipsang Thursday said the government would ensure that emergency intervention measures are put in place ahead of the re-opening of schools in January 2015.
Speaking after an assessment tour of Mandera County, Dr Kipsang said the government would give the county all the support requires.
“We are not departing from Mandera in its hour of need. We are here to give our support,” Dr Kipsang said during a meeting at the county headquarters.
The PS, who met with Mandera Governor Ali Roba, was accompanied by his colleagues Mutea Iringo (Defence), Monica Juma (Interior), Nduva Muli (Transport) and Director of Medical Services Nicholas Muraguri.
Mandera has witnessed a mass exodus of workers especially civil servants working in the health and education sectors after two attacks that have left more than 60 people dead in the recent past.
Twenty eight people were killed in the first attack after the Al-Shabaab militants raided a Nairobi-bound bus and shot them dead near the Kenya-Somalia border. Most of those killed were teachers and other civil servants travelling home for the Christmas holidays.
A week later, on November 22, 2014, 36 people were ambushed as they slept in tents at Koromey quarry near the same border. All those killed were non-locals and non-Muslims.
RE-OPEN HEALTH FACILITIES
Following the departure of 50 health workers, Dr Muraguri said the government will re-open 20 health facilities that have closed down due to security threats.
This, he said, will be done as a matter of urgency.
“Our ministry will help Mandera stabilise following the security blow.
“I applaud Mr Roba for his efforts in trying to keep the county moving despite all the challenges you are going through,” he said.
Ms Juma appealed to all ministries to fully commit themselves and help the county get back on its feet.
“Mandera is our frontline. We are here to support the county to the end,” she said.
Governor Roba lauded the National Government for its response in ensuring that crucial government services were not further paralysed by the exodus of civil servants.

Uhuru rallies MPs to pass Bill to fight terrorism and banditry



 


President Uhuru Kenyatta and his deputy, Mr William Ruto, on Wednesday rallied Jubilee MPs to pass an amendment Bill to fight terrorism and banditry.
The President hosted the MPs and senators at State House, where he explained why he needed more powers to deal with terrorism and asked them to pass the Security Laws (Amendment) Bill.
MPs who attended the meeting said the President said he was being blamed by the opposition, civil societies and the clergy for failing to tame insecurity yet the law did not give him the authority to deal decisively with the attacks.
“The President said everyone was saying the buck stopped with him but the Constitution did not give him enough powers to fight terrorism,” said an MP who requested not to be named.
A senator said the President argued that since the buck stopped with him, he deserved the powers that would allow him to deal decisively with government officials who failed in their duties.
He made it clear that he needed the powers to come down hard on the Inspector-General of Police and the two deputies, the Director of Criminal Investigations (DCI) and the National Intelligence Service (NIS) director.
SECURITY TENURE
The Bill, which is expected to be taken up for debate in the House on Wednesday, proposes to take away the security of tenure of the Inspector-General of Police and the two deputies, the NIS director and the DCI.
The proposed law comes two weeks after suspected Al-Shabaab militants killed 64 people in Mandera in two separate incidents.
Opposition leaders and the public heaped pressure on the President and called for his resignation.
President Kenyatta responded by nominating Kajiado Central MP Joseph Nkaissery as Interior Cabinet secretary in the place of Mr Joseph ole Lenku. Inspector-General of Police David Kimaiyo retired and is yet to be replaced.
National Assembly Majority Leader Aden Duale told the House that the Bill would go for the second reading and possibly allow for the third reading at a later date or on the same day.
Jubilee MPs meet this morning to discuss how to rally their colleagues to pass the Bill.
Said Gatundu South MP Moses Kuria: “There will be a meeting tomorrow (Thursday). We want to make it clear that when the Bill comes to the House, there will be no coalitions, religious affiliations or partnerships. We ask Kenyans to watch out for those who will be on the side of freedom and democracy and those who will be on the side of terrorists and killers.”
The opposition has criticised the amendment Bill, arguing that it infringes on freedom of expression, freedom of the media and Kenyans' right to privacy of Kenyans.

Kenyans nominate 10 most favourite MPs in 2014





Ten Members of Parliament have been nominated as the most favourite leaders in 2014.


Through online voting, Kenyans nominated their most favourite MP in 10 different categories, with three nominees initially in each category.


The parliamentarians were selected based on Bills moved, contributions to Bills, motions raised and statements issued from March 2013 to November 2014.


The categories, under the banner Wanjiku’s Best Representative, are education, water, health, food, devolution, oversight (progressive legislation), budgetary oversight and youth.


The 10, who include members of the National Assembly and the Senate, are in the 2014 People’s Shujaaz Awards.


THE NOMINEES


MPs Boniface Gatobu (Buuri constituency in Meru County) and Senator Boni Khalwale (Kakamega) have been nominated as the most favourite leaders in the education category.


Mr Gatobu was nominated for moving a motion urging the government to establish a public databank of all bright students from low-income families.


The databank would be used when disbursing bursaries from public institutions and the Constituency Development Fund (CDF).


Dr Khalwale was nominated for his motion on equitable distribution of universities across counties.


In the health category, the nominees are Senator Wilfred Machage (Migori) and Dr James Nyikal (Seme MP).


Dr Machage was nominated for moving a motion urging the government to establish Level 5 hospitals in all 47 counties.


Dr Nyikal was nominated for his contributions on the health sector and devolution.


Ms Amina Abdalla (MP) was nominated in the water category for her contributions to the Water Bill of 2014, which seeks the separation of responsibilities between the water authorities at the national and county government levels.


Nominated Senator Beatrice Elachi was nominated as Wanjiku’s Best Representative in the food category.


Ms Elachi was nominated for her role in the Food Security Bill.


In the youth category, the nominee is Mr Chris Wamalwa (Kiminini MP).


FUNDS FOR WOMEN AND YOUTH


He was nominated for seeking to have the Sh6 billion initially earmarked for a presidential runoff in the 2013 elections to be disbursed to youth and women groups across the country.


Suba MP John Mbadi was nominated for his contribution to debates on salaries, allowances and vehicles allocated to constitutional commissioners.


Mukurweini MP Kabando wa Kabando was nominated in the oversight (progressive legislation) category for proposing the reintroduction of capital gains tax that was included in the Finance Bill of 2014, among other contributions.


Tharaka-Nithi Senator Kithure Kindiki was nominated as Wanjiku’s Best Representative for devolution.


Prof Kindiki is credited with contributing to several county Bills in the Senate.


These include the County Allocation of Revenue Bill of 2013; the Community Land Bill; the Division of Revenue Bill of 2014; and the County Retirement Scheme Bill, among others.


He is also recognised for a motion urging the national government to enter into agreements with county government to transfer resources, functions and powers to them.


The online voting, which was conducted by Mzalendo.com, lasted 10 days.