kama magazeti ya leo yamekupita tizama hapa..
Ulikuwa mbali na Redio yako na hukusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani kupitia Power Breakfast ya Clouds FM? yako hapa nimekurekodia unaweza kusikiliza.
Habari inayohusu uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, kumteuwa Dr James Mataragio, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ni moja kati ya habari zilizoandikwa kwenye Magazeti ya leo.
0 comments:
Post a Comment