WALE WA @SELFIE TECHNOLOJIA YATULETEA SELFIE STICK.. CHEKI HAPA..
Watu wengi wamekuwa addicted na Selfie, sasa wataalamu wakaona isiwe tatizo, wametuletea kifaa kipya Selfie stick kitakachosaidia wale wa selfie kujipiga kwa kuenjoy zaidi.
Cheki video hii hapa.
0 comments:
Post a Comment