KENDRICK LAMAR ATOKELEZEA TENA KWENYE JARIDA LA XXL.. TIZAMA PICHA HAPA

SOCIALIZE IT ⇨




Kendrick Lamar ametokea tena kwenye kurasa ya mbele ya jarida la XXL kwa mara ya nne sasa na mara ya kwanza kama solo Artist. Rappa huyu kutoka Compton, California ameonekana kwenye jarida hili katika toleo la mwisho la mwaka 2014 ‘ Winter 2014 ‘ .
Wasanii wengine waliofanyiwa mahojiano kwenye toleo hili ni pamoja na French Montana, Big Sean, YG na E-40. Picha za photo shoot ya Kendrick ndio hizi.





0 comments:

Post a Comment