WAARABU WA DUBAI WANAPESA CHAFU, TIZAMA PICHA ZA MALI WANAZOMILIKI HAPA.

SOCIALIZE IT ⇨


Angalia picha 23 za utajiri uliopo Dubai, mwenyewe utawakubali waarabu kuwa ndio matajiri Duniani.
Dubai ina eneo lenye kilometa za mraba 4000 na lina vivutio vingi vizuri vyakujengwa kwa hela zao wenyewe waarabu ambao ni matajiri waishio huko. Angalia picha mbalimbali za utajiri wao huko Dubai.
1. Dubai hawana viziwa bali huwa wanavitengeneza

2. Na visiwa wanavyotengeneza vikikamilika ni vizuri sana

3. Magari ya matajiri wa huko yametengezwa kwa dhahabu tupu.

4. Magari hupambwa mwenyewe utakavyo.

5. Umiliki wa wanyama pori Dubai ni kawaida.

6. Na hawana madhara yeyote na wamezoeleka kwa watu.

7. Misikiti yao inavutia na nimizuri sana.

8. Muonekano wa juu wa mji wa Dubai.

9. Na huu ni muonekano wa usiku wa dubai unaovutia sana.


10. Maeneo mbalimbali ya kuingia na kutoka

11. Migahawa ya kahawa inayovutia.

12. Vyoo vya umma vinavyovutia kabisa.

13. Supermarket zenye muonekano mzuri sana

14. Watoto wa matajiri wanaomiliki wanyama pori wao.

15. Magari ya kifahari yanayotumiwa na watu waishio Dubai.

16. Matajiri wanaomiliki wanyama pori hapa ni wakicheza nao.

17. Hili ni moja ya gari la polisi yanayotumiwa huko Dubai

18. Hili pia ni gari la polisi linalotumiwa na polisi wa Dubai.

19. Kama kuna foleni sana huduma ya kubebwa wewe na gari lako ipo.

20. Wanyama wa porini wanaomilikiwa na matajiri wa Dubai.

21. Hiki ni Chumba cha moja ya Hotel huko Dubai.

22. Jokuzi la hotelini hapa ni Dubai.

23. Gari la kifahari lilotengene kwa dhahabu tupu Dubai.

Dubai, ni mji wa kushaajabisha sana.

0 comments:

Post a Comment