UCHUNGUZI UFANYIKE NDIO MAZISHI YA AISHA MADINDA YAFANYIKE.. CHEKI HAPA

SOCIALIZE IT ⇨











Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji maarufu wa twanga pepeta ‘Aisha Madinda’ ambayo yalikuwa yafanyike Alhamisi ’18 decemba 2014′ yamehairishwa hadi Ijumaa ili kufanyika uchunguzi wa kifo chake.

Aisha Madinda alifariki 17 decemba 2014, mtoto wake wa kiume Feisal anasema mama yake hakuwa mgonjwa. Pia mwanamke aliyepeleka mwili wa marehemu hospitalini anashikiliwa na polisi kituo cha Oster Bay.

Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu Instagram , Twitter Na Facebook

0 comments:

Post a Comment