Hizi ndio Sababu Zinazowapelekea Wanawake wengi Kutokufika Kileleni wakati wa Kwichi kwichi, Cheki hapa nimeziweka zote.
Tafiti za kisayansi na kibaiolojia zinaeleza kwamba mwanamke huchukua kati ya dakika 7 hadi 18 za uume kuwa ndani ya uke ili aweze kufikia kileleni, ingawa hapa sio tu uume kuwa ndani bali hata na jinsi tendo hilo linavyofanywa.
Tatizo linakuja kwamba wanaume wengi hata kustahimili dakika mbili wakiwa ndani ya mwanamke ni mtihani mkubwa. Tafiti zinaonyesha kwamba wanaume wengi kuweza kustahimili kuingiza na kutoa uume "pumpings" kati ya mara nane hadi kumi na tano na hapo huwa tayari wameshamaliza (kumbuka hizi sio dakika, ni ile ingia toka). Sasa hapa ndipo kule kujifanyishakwa wanawake kunapoanza "fake orgasms".
Njia pekee ya mwanaume kuweza kuchelewa kufikia kileleni kabla ya mpenzi wake ni kwa kujitahidi kujizuia au kuzuia mhemko kuanza haraka kutokea kwenye sehemu ya ubongo "sexual arousal centres". Jambo hili linawezekana kwa kuelekeza mawazo yako kwenye kitu au mazingira yalio nje au mbali na tendo la ndoa unalolifanya.
Mara unapo waza na kuweka mawazo yako kwenye tendo unalolifanya na pia ukawaza kuhusu furaha yake basi unafungua milango yote ya "sexual arousal centers" kwenye ubongo na mara hiyo hiyo utajikuta unafikia kileleni, unatakiwa kujifunza na kuwa na uwezo wa kufungua na kufunga maeneo ya ubongo wako yanayo jishuhulisha na tendo la ndoa"sexual arousal center's" ili kumuwezesha na mke wako kufurahia tendo la ndoa sio tu kila siku wewe ndio inafikia kileleni mwenzako anaachwa njia panda, na wala hamliongelei hilo, kama vile yeye ndio ameumbwa kukuwezesha wewe kufurahi…
No!! Great sex is a two way traffic task
0 comments:
Post a Comment