Je unajua Mahusiano Ya kimapenzi yanaanzia Kwenye Harufu, Unaijua Harufu yako? Ni nzuri au mbaya? Cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨
JE UNAJUA KWAMBA KUKARIBIANA KWETU KIMAHUSIANO KUNAANZIA KWENYE HARUFU?

Utafiti uliofanywa nchini Switzerland umeonyesha kwamba mara mwanaume na mwanamke wanapoonana kwa mara ya kwanza na mmoja kuvutiwa na mwingine au wote kuvutiwa, huwa kunakuwa na harufu kutoka kwenye*"genes"*zao ambapo 

kama*"genes"*hizo zinaendana au zinafanana kila mmoja atahisi harufu mbaya toka kwa mwenzake na hivyo kupunguza uwezekano wa kuanza mahusiano kwasababu ya kukwepana na iwapo "genes" zinatofautiana"dissimilar"
*watahisi harufu nzuri na hivyo kuzidi kukaribiana. Sasa labda unapompenda au kuvutiwa naye halafu akaanza kukuepuka, kukukwepa au kukuchukia gafla hatakama hamjaongea naye sana unaweza kukuta kasha hisi harufu mbaya toka kwako hata kama yeye mwenyewe hajui kinachomkimbiza

0 comments:

Post a Comment