Mpenzi wangu ana Uume Mkubwa, Akikaribia Kufunga Goli Panakuwa hapatoshi, Naombeni Ushauri Wenu, Cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨

Habari dada Dinah, na hongera kazi ya kutuelimisha. Mimi ni msomaji mzuri wa Mada zako na ninashukuru zimenifunua kichwa katika vitu vingi tu.

Nina tatizo moja dada, mpenzi wangu ambae ndio Mtarajiwa wangu ana Maumbile makubwa mpaka nahisi kuumia wakati fulani hasa anapokaribia kufunga goli au akiongeza speed ya ku-pump.

Kiukweli ni tatizo linatusumbua hata yeye ameshindwa kulipatia ufumbuzi anasema ndio amezaliwa hivyo, nisaidie dada kama kuna dawa ya kupunguza Uume au kuna vyakula anaweza kula.

Au kwa mimi kama mwanamke nifanye nini ili niweze kumudu na ku-enjoy mpaka mwisho wa mchezo??

*********

Dinah anasema: Njema, ahsante kwa ushirikiano.

Mrembo Kama hakuna Dawa ya kuongeza, ya kupunguza itatoka wapi? Hakuna vyakula vya kusaidia kupunguza Maumbile.


Uume ni kiungo kinachokuwa kulingana na ukuaji wa mtu na asili yake.....ni kama Kimo(urefu au ufupi wa mtu) huwezi kuupunguza wala kuongeza(Labda kwa Upasuaji).

Muhimu ni ninyi wawili kushirikiana zaidi kabla na wakati wa tendo. Yeye ajaribu kujizuia kwenda "mbali" sana ili asikuumize mwisho wa Uke. Na wewe kuwa mwepesi "kujirudisha" nyuma (kubinua kiuno kwa nyuma/chini) kila unapohisi anagota Mwisho.

Epuka baadhi ya Mikao unayojua unamfanya apante nafasi ya kwenda ndani zaidi na badala yake Tumia mikao na mitindo itakayo kusaidia wewe "kujirudisha nyuma".....Mako kama Kukaa....mtindo Kipepeo, Mkao kifo cha Mende....mtindo Mwanamke(wewe) juu, nakadhalika.

Pia mjitahidi kuridhishana zaidi bila kuingiliana na ikifikia mahali mnataka kuingiliana basi itachukua muda mfupi na hivyo kukuepushia Maumivu kwa muda mrefu.

Wekeza kwenye "Kilainisho atifisho" aka Gel, zipo za aina nyingi inategemea na Nchi au niseme mahali. Zipo za kuongeza msisimko na kupunguza Maumivu, zipo za kuchelewesha ili mwanamke afike, zipo za kuwahisha wanaume(wengi huzikimbia hizi) n.k.....chagua kulingana na mahitaji yako.

Kila la kheri.
Mapendo tele kwako...

0 comments:

Post a Comment