Ex Wa Cristiano Ronald Asema, Hakuwa Salama Katika Mahusiano Yake Na Mwanasoka Huyo .. cheki hapa

SOCIALIZE IT ⇨

Kama Ulidhani Pesa, Umaarufu,Na Uzuri Ndio Furaha Waza Tena,
Mwanasoka Cristiano Ronaldo na aliyekuwa mpenzi wake walioachana mwaka jana December 2014 Mwanamitindo Irina Shayk baada ya kudumu kwa miaka mitano ya mahusiano yao wameonekana kuingia kwenye mgogoro baada Irina kuongea chafu kuhusu Cristiano wakati wa mahojiano na jarida la Holla la hispania aliposema alikuwa anajisikia mbaya kusimama pembeni ya mwanaume ambaye hakuwa sahihi kwakwe
Alizungumzia mwanamme anayefaa kuwa nae akitofautisha na aliywahi kuwa nae ambaye ni Cristian Ronald
“Mwanaume Muaminifu,Mkweli na mwenye hadhi ya Uanaume (gentleman)anayejua kumtendea wema mwanamke ,Siamini katika mwanaume anayekufanya usiujiskie furaha,kwasababu ni wavulana sio wanaume … Nilidhani nilipata mwanaume huyo wakati mmoja lakini haikuwa hivyo” alisema mrembo huyo na kuongeza
‘Nilijisikia mbaya na kutojiamini kusimama pembeni ya mwanaumeambaye sio sahihi kwangu

0 comments:

Post a Comment