Wazungu waleta kifuniko cha kufunika pande za kenyata kwa wanawake.. Cheki hapa..

SOCIALIZE IT ⇨

Eti akina dada siku hizi wameanza kuvaa hii mifuniko inayoziba nyeti na mfereji wa"""".  Sielewi sababu haswa ya uvaaji huu, sijui vina bei nafuu au havina joto kali kama chupi. Ila yote kumi, jamani tunamkufuru Mungu sana hebu tuachane na haya mambo.
Hebu angalia mwenyewe aibu hii hapa chini....


0 comments:

Post a Comment