Nyumba kali 3 kuliko zote duniani.. chungulia hapa
Nakubali kwamba moyo wangu unazimika sana na nyumba nzurinzuri, yaani mtu wako wa nguvu kuwa na gari la kifahari sio muhimu kama ilivyo kuwa na nyumba nzuri au sehemu nzuri ya kulala.
Ni mara kwa mara hapa millardayo.com huwa naweka picha za nyumba za kisasa zilivyojengwa na wenzetu ili hata watu wangu walio kwenye ujenzi wapate madini kidogo au idea manake kuna uwezekano nyumba yote kama hii kuijenga ukashindwa lakini kuna vitu vichache unaweza kuvijenga/kuwa navyo kwa kujifunzia hapa.
0 comments:
Post a Comment