HILI NDO LITAKUWA JENGO REFU KULIKO MAJENGO MENGINE YOTE JIJINI MWANZA, MNAMO 2016.. CHEKI HAPA
Mwanza ni moja ya sehemu tatu za Tanzania ambazo huwa nazipenda sana na hata wakati mwingine kuvutiwa kuzitembelea kila ninapopata nafasi.
Mabadiliko ambayo wengi wangependa kuyaona ni jiji hili lilibarikiwa kwa kupewa pia ziwa Victoria, liendelee kupendeza kihalali kutokana na mpangilio unavyohitajika.
Hili jengo linajengwa maeneo ya Capri Point ambapo ni jengo la Hoteli litakalokuwa na gorofa kumi na tano, ni jengo la hoteli ambayo ni ya Nyota tano itakayokuwa karibu na vyumba mia MBILI VYA KULALA.
Limeanza kujengwa tangu November 2013 na linatarajiwa kumalizika mwaka 2016 huku gharama ya kulijenga ikiwa ni zaidi ya bilioni 72.
0 comments:
Post a Comment