WANAUME WAVAA SKETI NA KUINGIA MTAANI KUWA SUPPORT WANAWAKE.. CHEKI HAPA.. PATAMU HAPO.
Hawa jamaa wa Uturuki wameona isiwe tabu, wameingia zao na wenyewe mtaani wakiwa wamevaa zao sketi za wanawake ili tu ku show support yao ya nguvu kwa wanawake ambao walikuwa wakiandamana kulaani mauaji ya mwanamke mmoja Ozgecan Aslan ambaye aliuawa na mwanaume aliyetaka kumbaka.
- Hawa huenda majukumu yaliwabana wakashindwa kuingia mtaani kuandamana, basi wakatupia PICHAZ na sketi zao mitandaoni.
0 comments:
Post a Comment