HISTORIA YA MMILIKI WA FACEBOOK MARK ZUCKEBERG.. KWELI HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHAA. CHEKI HAPA

SOCIALIZE IT ⇨
Jamaa anaitwa Mark Zuckeberg,Ameoa mchina anayeitwa Priscilla Chan.
Inasemekana huyu jamaa ni mtu anayeishi maisha ya hali ya kawaida sana ukilinganisha na Matajiri wa dunia hii japo ukitaja matajiri 25 wa dunia naye yumo.

Magari anyotumia ni Honda ambazo hata wa bongo wengi hapa wanayo na pia hutumia BMW za kawaida ambazo hata bongo zipo nyingi.

Tofauti na watu wengi ambavyo wangefikiria labda jamaa angemiliki Porsche, Lambogin, Ferrari, Hummer n.k lakini jamaa huyu amejitahidi kuonesha kuwa maisha ni vile unavyochukulia na usijali watu wanavyokuangalia.

Pia inasemekana jamaa ni mtu mwaminifu sana katika uhusiano wa kimapenzi, kwa title na cheo chake haingekuwa rahisi kutulia na mke mmoja lakini jamaa kafanya hivyo tangu mwaka 2007 yupo na mke huyo huyo mmoja ambaye walikutana mwaka 2003 huko chuoni Havard Marekani.

Mark Zuckerberg Acura TSX




Mark Zuckerberg Honda Fit

A Zuckerberg Family Album

The Facebook founder shares a few of his family snapshots with TIME
Mark akiwa na miaka miwili kasoro
A Zuckerberg Family Album

The Facebook founder shares a few of his family snapshots with TIME
Mark akiwa na miaka 4 na nusu


A Zuckerberg Family Album

The Facebook founder shares a few of his family snapshots with TIME













0 comments:

Post a Comment