MASANJA MKANDAMIZAJI HOI BIN TAABANI HOSPITALI.. KISA CHOTE KIPO HAPA

SOCIALIZE IT ⇨


  • masanja mkandamizaji awataka watanzania na
    mashabiki wake kiujumla wawe na kawaida ya
    kucheki afya zao angalau kwa mwaka mara moja,
    okay na hayo ndio maneno ya masanja
    mkandamizaji akizungumzia swala hilo kupitia
    mtandao wa makubwa haya Wajameni... Tujifunze
    kucheki afya kila mara... Ukijua afya yako utajua na
    mipango yako inakaakaaje pia..

0 comments:

Post a Comment