MTANZANIA AUAWA NCHINI UJERUMANI, ADAIWA KUWEKEWA SUMU.. HABARI KAMILI IKO HAPA..

SOCIALIZE IT ⇨

Mtanzania, Robert Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake mjini Shorten, Ujerumani siku chache zilizopita.

Marehemu Mpwata akiwa na mkewe

Marehemu Mpwata enzi za uhai wake

0 comments:

Post a Comment