UJUAJI WA MAMBO WAWAATHIRI WANAWAKE WENGI.. CHEKI HUYU DADA YALIYO MSIBU..
Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa
Joyce Kiria
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo
makubwa sana.....nawashwa sana sehemu za siri
(uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni
fungus nikatumia dawa baada ya wiki tatizo
likajirudia. Nimekuwa mtu wa kujikuna wakati
wote. Ukeni panawaka moto kwa kujikuna,
nimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo
jingine . kila ninapofanya tendo la ndoa napata
maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine
mpaka naanza kubleed.
Kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo
vya kansa lakini tatizo likazidi kuongezeka na
sasa siwezi hata kufanya tendo la ndoa.
madaktari ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e
kuna wekundu mwingi sana badala ya rangi ya
pink.
Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo
imeshambuliwa na bacteria wasiosikia dawa.
Wakajaribu kupeleka dawa sehemu iliyoathirika
bado ikashindikana kuwaua!
Baadae madaktari wa Muhimbili wakaniuliza
ninavyofanya usafi katika sehemu zangu za siri
na nikawambia ukweli kwamba, "NASAFISHA KWA
KUINGIZA VIDOLE NDANI, NAJIINGIZA ASALI NA
PAMBA NDANIILI UKKE UWE UMEBANA NA
VINGINE VINGI tu tunavyoshauriana na wasichana
(VIUNGA SEHEMU ZA SIRI).
Madaktari wakasema sababuya tatizo langu
nimeua bakteria wote walinzi ndani ya ukke ndo
maana nimmeshambuliwa na bacteria ambao
hawaskii dawa
Ndugu zangu nilikuwa nikiunga sehemu za siri
(ukke) kwa VIUNGO na naingiza kucha pamoja na
sabuni ili uwe ubane na upendeze. Sasa
nimeshauriwa nitoe kizazi katika umri wa miaka
29 kwani nikiacha itakuwa kansa. Najua mna
ndugu zenu wa kike au wake zenu. Wape
tahadhari juu ya hili.
My take: Hivi hadi uweke asali, vidole, pamba nk
ndani ya ukkke ili ubane unatafuta nini? Kuna
mashindano ya zinazobana, na wanawapa tuzo
gani hadi utake risk kias hiki?

0 comments:
Post a Comment