VIDEO YA P-UNIT FT YEMI ALADE.. CHEKI HAPA

SOCIALIZE IT ⇨
PUnit feat. YEMI

Kuna story ambayo ilishtua fans wa muziki Afrika Mashariki, hii ni ule uvumi kwamba eti P Unit walikuwa wanaelekea kutengana!

Frasha aliikanusha hiyo, wamethibitisha kwa vitendo kwamba P Unit bado iko na sisi tena na tena, wana ngoma mpya ambayo humo ndani yuko mdada ambaye Afrika inaujua uzuri na ubora wa kazi zake, Yemi Alade.

Tuna ushahidi wa P Unit kufanya ngoma kali kama ile Mobimba waliyomshirikisha Alicios, tuisikilize na hii halafu tuone kama muungano wao umetoa ladha amazing hivi..

0 comments:

Post a Comment