Alikiba: Daimond alikuwa kama mdogo wangu, mimi nilikuwa natoka na dada yake, story kamili hii hapa, Cheki hapa.
Kipindi hicho nilikuwa Marekani, Bob Junior akanipigia simu kuhusu Diamond, nikamwambia kama anajua kuimba basi mpe nafasi ya kurekodi.” Aidha, Kiba amesema hapendi watu wanavyojaribu kumfananisha au kumlinganisha na Diamond kwani yeye anamchukulia msanii huyo kama wasanii wengine walivyo.
Kiba anaeleza zaidi: “Mara kadhaa Diamond katika siku za nyuma alikuwa akipenda kuzungumzia suala la kunifunika, nadhani alininuwia kwa muda mrefu, lakini mimi namchukulia kama mdogo wangu.” Pamoja na hayo, Kiba alisema anampongeza Diamond kwa mafanikio kibao aliyonayo katika ngazi za kimataifa ikiwemo kuingizwa kwenye tuzo kadhaa kubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.....
0 comments:
Post a Comment