Tumbo la Zari lawashtua wengi, Cheki picha hapa.
Mpenzi wa Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul alamarufu kama Diamond Platnumz, Zari amepost picha yake kwenye mitandao ya kijamii akionyesha jinsi tumbo lake lilivyokuwa kuwa kubwa ambapo kwa sasa Zari ana mimba ya Diamond na kuanzia sasa tatarajie mtoto kutoka kwao.
0 comments:
Post a Comment