Labda na wewe unapenda mishkaki.. Unajua unachokulaga?, Cheki hapa.
Philip Paul kagonga vichwa vya habari kwenye story za Nigeria, amesema yeye na familia yake ni walaji wazuri wa mishikaki ya chura na pia ni biashara yake inayomuweka mjini.. YES.. anauza mishkaki hiyo !!
Hapo mishkaki inakaushwa kwenye jua
Kazi inaendelea, hapa mishkaki iko kwenye moto.
0 comments:
Post a Comment