Mtangazaji wa ITV achapia na kumtaja Daimond Plutnumz huku akitangaza taarifa ya habari, cheki hapa..
MASWALI YA KUJIULIZA:
Hivi kweli kuna timu inaiwa Diamond Platinumz?! Huyu si ni msanii jamani?! Ndio kusema kwamba jina la msanii huyu limewakaa watanzania midomoni kihivi au ina maana gani?! Ulimi hauna mfupa jamani mimi napita tu, sema wewe mdau!
Tupia maoni yako hapo chini kwa comment box tafadhali!
0 comments:
Post a Comment