Kwanini wanawake wanapenda Uume mkubwa, Sababu iko hapa ni muhimu kujua, Cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨


Mimi ni mwanaume ambaye natambua kuwa sina uumem kubwa lakini kila
mpenzi ninayekutana naye anashangaa kuona kuwa ninaweza kumtosheleza tofauti na alivyotarajiaMara nyingi ninapoongea na wanawake nimekuwa ninapata maelezo kuwa wangependa kupata mwanaume mwenye UUME mkubwa kuliko mwenye UUME

mdogo ili kufaidi tendo la ndoa.Naomba wanablog hii Kido Tz, hasa wanawake mnielimishe, kwa nini wanawake wengi wanapenda wapenzi wenye UUME mkubwa kuliko wale wenye UUME mdogo?
Na wale wanaume wenye UUME mdogo wanatakiwa wafanye nini ili kuwatosheleza vizuri wapenzi wao? Mimi naona wanawake wengi wanakosa wanaume wabunifu kunako sita kwa sita.

0 comments:

Post a Comment