Mpenzi wako akiwa kwenye hedhi mnaweza mkafanya ivi ili kuridhishana, Cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨


Mahusiano ya mke na mume hayaishii katika Jimai peke yake bali yanakusanya kuona raha katika uke wa mke na hisia nyingine za kibinaadamu kama vile kunusa, kukumbatia, na kuchezeana, michezo mingine ya kuchekesha na kushikana shikana kwa aina zote mbali na tendo lenyewe la Jimai. Na hii hufanikisha hamu na matamanio ya kubadilishana baina ya wanandoa wawili. Kwa mwanamke mwenye hedhi huku kutomaswatomaswa humsaidia kumpunguzia ule usumbufu aupatao katika hedhi yake na lingine muhimu zaidi ni kufahamu vile vile kuwa yeye si chombo tu cha kushibisha matamanio ya kingono ya mumewe peke yake bali kuna mambo mengine amabayo ni muhimu vile vile mbali na kule kushuka na kumwaga.

1 comment: