Hizi ndio sehemu mwanamke apendi ashikwe akiwa kwenye siku zake, Cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨


Unajuwa muda mwingine tunawauzi wapenzi wetu bila kujijua, ni baadhi ya wasichana wengi ambao wanajitahidi kuwaambia wapenzi wao hali halisi lakini wengine hukaa kimya. Wasichana wengi wametoa maoni kuhusu mambo yanayowatesa kutoka kwa wapenzi wao, kwa kifupi mpenzi msomaji si kila eneo la mwanamke unastahili ulishike. Ni kweli unaruhusiwa kumtumia mpenzi wako utakavyo lakini tafadhari usishike haya maeneo msichana akiwa katika hali hizi:

1. Usimshike mpenzi/mke wako akiwa ananyonyesha au akiwa katika siku zake. Tafadhari usifanye hivyo ni kero kwa msichana yeyote
2.Usimshikeshike tumbo akiwa ameshiba sana, inasemekana wasichana wanajisikia vibaya sana kushikwa tumbo hususani wakiwamekula chakula chochote kwa mboga ya maharage.
3.Usipende kumshika shika kabla hajaoga, kiujumla wanawake wanapenda nyeti zao ziwe safi kabla ya mtu ya kufanya mapenzi. Kumshika shika kabla hajaoga unaweza mpandisha hisia na kujikuta nafanya mapenzi akiwa katika hali ya uchafu kitu ambacho wasichana wengi wanaona kero.

4. Usipende kumshikashika nywele akiwa amesuka saluni kwani kufanya hivyo

0 comments:

Post a Comment