Pwani ya afrika kusini yazinduliwa, wageni watakiwa wawe uchi kama walivyo zaliwa, cheki video hapa.

SOCIALIZE IT ⇨



Saa 9 zilizopita


Mwishoni mwa juma Pwani ya Mpenjati iliyoko A-Kusini ilifunguliwa rasmi kwa watu wote kwenda utupu katika Pwani hiyo kwa wale wanaotaka kuogelea au kustarehe .


Wakuu wa Manispaa wa Pwani hiyo wanasema itakua kivutio kizuri kwa utalii wa eneo hilo. Hata hivo kumekuwako upinzani kutoka katika vyama vya kidini kama anavyoeleza mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Johannesburg .

0 comments:

Post a Comment