Ulishawai kuona ugomvi wa wapenzi huku FB, cheki conversation zao hapa.. cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨








Lol.Kwenye Mitandao ya kijamii kama Facebook Instagram na Twitter kuna mambo sijui kama ulishawahi kuona wapenzi wakigombana ndani ya mitandao ya kijamii? hii nimeona hii post kidogo nimeshtuka kidog na kushangaa.Msichana anatumia jina la Ovedje Blessing alipost picha ya Boyfriend wake wa zamani anayejulikana kwa jina Henry Emeka sasa baada ya rafiki yake Grace Adaobi Oraneli kuona alikuwa na yake ya kusema. Kisanga kikaja wacha mapigo ya ngumi za maneno yaanzeee lol








0 comments:

Post a Comment