Viwanda vya mikorogo vikifungwa tutawasahau wengi sanaa.. em mcheki huyu.. cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨
 
Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini, siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi na mikorogo vizimwe na kutotumika tena. Ipo siku tutawasahau wengi, wengine tutawapa shikamoo bibi, wengine kuwakimbia kwa mabaka ya rangi nyingi tofauti.

Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.

0 comments:

Post a Comment