Diamond Aonyesha Hundi ya Pesa Aliyokabidhiwa na UAP kupitia CRDB Baada ya Ukuta wa Nyumba yake Kudondoka. cheki hapa.

SOCIALIZE IT ⇨


Diamond Platnumz ameendelea kuwa na updates kila kukicha na hii ya leo ni baada ya ukuta wa nyumba yake kudondoka, Benki ya CRDB kupitia kitengo chake cha insurance imemkabidhi diamondi hundi ya hela kwa ajili ya kujengea ukuta wa nyumba yake.

0 comments:

Post a Comment